π
πππππ πππππ AMESHAKUBALI KUJIUNGA NA SIMBA SC!
Kiungo fundi namba 6, maarufu kama Fei Toto, amekubali dili la miaka miwili na Simba SC, tunaweza kuthibitisha.
Feisal amewaarifu Azam FC kuwa hatasaini mkataba mpya — uamuzi wake ni wa mwisho.
Amevutiwa na mradi wa kocha Fadlu Davids na ana hamu kubwa ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na vigogo wa Tanzania.
- Mambo binafsi yamekamilika
- Mradi wa timu umemvutia
Sasa ni tunasubiri... SOMA ZAIDI...
Post a Comment
Post a Comment