-->

Change Language

EXCLUSIVE: Alichokisema Che Malone, Mchezaji Mpya Wa Simba SC

Post a Comment


 ... πŸš¨πŸ’¬ ||EXCLUSIVE INTERVIEW:


CHE MALONE - "NIKO HAPA KUCHEZA"



Mahojiano ya kwanza yaliyopakiwa katika ukrasa rasmi wa Simba SC Tanzania yamemwonyesha mchezaji mpya aliyetangazwa leo, Che Malone akisema, "Niko hapa kucheza. Asante kwa kunikubali na kunikaribisha. Naipenda klabu na nitajitahidi niwezavyo kuhakikisha tunapanda juu zaidi msimu huu ujao. Asante." 

Kisha alimaliza Alkwa kumbusu beji ya nembo ya Simba SC kwenye jezi πŸ”΄⚪️  #NguvuMoja #simbasc

Related Posts

Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter