MIGUEL ANGEL GAMONDI.
Alizaliwa Nov 30/1966 (56) katika mji wa Olavarria Nchini Argentina 🇦🇷.
» (4-2-3-1) - Mfumo anaoutumia zaidi. Anasimamiwa na ISFA sports Agent.
◉ Gamondi alianza kucheza soka Nchini Argentina 🇦🇷 katika klabu ya Forro-carril Sud. Baada ya kustafu kucheza soka alisomea ukocha.
» Baada ya kuhitimu, Gamondi alizifundisha klabu mbalimbali za madaraja tofauti Nchini Argentina including ››› Ferro-carril Sud, Racing, El Fortin, San Martin, The Tucuman na Racing club de Avellaneda.
◉ Mwaka 2000, Gamondi alielekea Barani Africa kwa mara ya kwanza na kujiunga na klabu ya Oscar Fullone ya Burkinafaso 🇧🇫 Dec 2021na baadae akajiunga na klabu ya Al Ahly 🇱🇾, kote akiwa kocha msaidizi.
Klabu alizofundisha kuanzia hapo akiwa Assistant coach & Technical director.
🇹🇳 Esperance de Tunis
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇲🇦 Wydad Casablanca
🇹🇳 Etoile du Sahel
🇿🇦 Mamelodi Sundowns
» Dec 2007 aliajiriwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya FC Platnum 🇿🇦 akaifikisha (16) bora kwa mara ya kwanza CAF-CC.
Baadae akarejea Mamelodi Sundowns 🇿🇦 akatwaa Ubingwa wa ligi kuu ya South Africa 🏆
Klabu alizofundisha baada ya hapo akiwa kocha mkuu ;
2010 /11 - 🇩🇿 CR Belouizdad
2011/12 - 🇲🇦 Ittihad Kalba
2012/13 - 🇩🇿 USM Alger
2013/14 - 🇩🇿 CR Belouizdad
2015/17 - 🇲🇦 Hassania Agadir (TD)
2017/19 - 🇲🇦 Hassania Agadir (HC)
2020/21 - 🇲🇦 Wydad Casablanca
2021/21 - 🇲🇦 MAS Fes
2021/22 - 🇲🇦 Ittihad Tanger
2023 ....... 🇹🇿 Young Africans
Mafanikio ;
🥉 2021 - Nusu fainali CAFCL - 🇲🇦 Wydad
🏆 2019 - Kombe FA cup - 🇲🇦 Agadir
🏆 2007 - Kombe ligi kuu - 🇿🇦 Mamelodi
🥈 Nafasi ya pili kwenye ligi - 🇲🇦 Wydad
🥉 16 bora CAFCC - 🇿🇦 Platnum
🇲🇦 Kocha bora PSL 🇿🇦
KUMBUKA:
Gamondi pia aliifundisha timu ya Taifa ya Burkinafaso 🇧🇫, anauzoefu wa kufanya kazi Africa kwa takribani miaka (22) akiwa Technical Director, Assistant coach na Head Coach (Manager).
Post a Comment
Post a Comment