Hawa ni Baadhi ya wasanii watakao Tumbuiza kwenye Simba Day:
Mwamba wa Kaskazini, Jon Makini atakuwepo kukiwasha kwenye 𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐃𝐚𝐲 𝟐𝟎𝟐𝟓.
Balaa la Wizzy MP litakuwa LIVE ndani ya Simba Day 2025.Hao ndio wasanii waliothibitishwa na Simba Sports Club kuwa watakuwepo kwenye Simba Day kutumbuiza
0 Comments