Wakali wa Mic Waliothibitishwa kuwepo kwenye Simba Day 2025
Sherehe ya Simba Day 2025 inazidi kushika kasi, na tayari mastaa wa burudani ambao watatikisa jukwaa la uwanja huu mkubwa wamewekwa wazi. Mashabiki watarajie moto wa burudani kutoka kwa wakali wa mic watakaosimamia shughuli zote mwanzo hadi mwisho.
Meena Ally – Saizi ya juu kwenye upande wa ushawishi na burudani, mwenye uwezo wa kuamsha hisia za mashabiki.
Adam Mchomvu – Mkali mwenye uzoefu wa kuteka hadhira na kuendesha matukio makubwa kwa ubora wa hali ya juu.
Samio – Mbavu ya kushoto yenye nguvu, akihakikisha mashabiki hawakai kimya hata kwa sekunde moja.
MC Petit – Mbavu ya kulia anayejulikana kwa ucheshi, mbwembwe na kuzungusha mashabiki kwa speed ya kipekee.
Kesho ni hatari fire – burudani, shangwe na mwamko wa kipekee kwa kila shabiki wa Simba SC na mashabiki wa soka kwa ujumla. Usikose!
0 Comments