Wachezaji wapya waliosajiliwa Yanga 2025/2026
1 Andy Boyeli akitokea Shekhukhune 🇿🇦
Klabu ya Yanga SC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Andy Boyeli akitokea Shekhukhune
2. Lassine Kouma (21),
🏟 RASMI: Klabu ya Yanga SC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Mali, Lassine Kouma (21), akitokea klabu ya Stade Malien ya kwao Mali. Kouma atakuwa anavaa jezi namba 8, ambayo awali ilikuwa ikivaliwa na Khalid Aucho.
3. Abdulnassir Mohamed
Klabu ya Yanga SC imekamilisha rasmi usajili wa mchezaji chipukizi mwenye kipaji, Abdulnassir Mohamed, ambaye amejiunga na mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania kwa mkataba wa muda mrefu ambao utawekwa wazi kwa masharti ya kimkataba.
4.Offen Chikola kutoka Tabora United!
Itakumbukwa kuwa chikola aliwahi kuifunga yanga magoli matatu na huenda ndiyo sababu ya kusajiliwa.
5. Moussa Balla Conté
Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga SC) imekamilisha usajili wa kiungo mahiri kutoka klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia, Moussa Balla Conté, raia wa Guinea-Bissau. Hatua hii ni sehemu ya maandalizi ya kikosi kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na mashindano ya kimataifa barani Afrika... SOMA ZAIDI...
Post a Comment
Post a Comment