... 🚨 || BREAKING
YANGA YAPOKEA TSH. 405,000,000 KUTOKA KWA MDHAMINI, SPORTPESA
Rasmi Klabu ya Young Africans Sports Club imepokea Hundi ya TZS 405,000,000/= kutoka kwa mdhamini mkuu wa Klabu Sportpesa Tanzania kama sehemu ya fedha za mafanikio ya Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la Azam na Mashindano ya CAF.
0 Comments