-->

Change Language

Usajili Yanga 2023/24

Post a Comment

 

usajili yanga 2023/24


Hawa hapa ndio wachezaji waliosajiliwa yanga mpaka sasa:

1. Nickson Kibabage:

Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili beki wa kushoto Nickson Kibabage kutoka Singida Big Stars. Kibabage anamudu kucheza kama beki wa kushoto na winga wa kushoto.



Kibabage ambaye amewahi kuvichezea vilabu vya Mtibwa Sugar, Njombe Mji, Difaâ El Jadida ya Morocco na KMC FC amesaini mkataba wa miaka miwili.


Tetesi Zilizopo;


2. Gift Fredi

Beki mkata umeme, Gift Fred Anaweza kutangazwa Young Africans Sports Club muda wowote 

Usajili Yanga SC


Beki huyo anakuja kuchukua nafasi ya Mamadou Doumbia 


Gift Fred huyu ndiye aliyekua beki bora msimu huu Uganda 2022-2023.

Related Posts

Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter