-->

Change Language

Usajili simba 2023 / 2024

Post a Comment

 


Usajili simba 2023 

Tetesi za usajili simba 2023/2024, usajili simba leo,  Simba Transfer rumors 2022, simba sc usajili 2022/2023,  Tetesi za Usajili mpya Simba 2023, Simba Sports news Players 2023/23, tetesi za usajili 2023/2024, Wachezaji wapya Simba 2023/2024,Wachezaji waliosajiliwa Simba 2022/2023,Tetesi za usajili simba na yanga, ,Simba Sc New Players 2023/2024|Usajili simba 2023/2024

Wachezaji wapya waliosajiliwa Simba Sc mpaka Sasa kwa msimu huu wa 2023/2024 ni hawa wafuatao:


Aubini Kramo:

...🚨 || FAHAMU 

TAKWIMU NA WASIFU WA KRAMO

☑️ Winger mpya wa klabu ya Simba alijiunga na klabu ya ASEC 15 Aug 2021, mkataba wake na klabu hiyo umemalizika 30 June 2023.


◉ Name - Aubin Kouame Kramo

◉ Citizenship - Ivory-coast 🇨🇮

◉ Height - 1,72 cm (f 5.7 in) ›› 65kg

◉ Position - Attack-Left winger

◉ Born - 28 Feb 1996 (27 yrs)

◉ Agent - Feurich inter football

◉ Foot - Left footer


Vilabu alivyopita ;


◉ 21/22 -  ASEC Mimosas

◉ 19/20 -  FC San Pedro (Loan)

◉ 17/18 -  Africa sports

◉ 15/16 - ASEC Mimosas


Takwimu zake akiwa katika klabu ya ASEC Mimosas 🇨🇮 (21/23) CAF CC & CL


◉ 28 - Games - CC

◉ 06 - Goals scored

◉ 02 - Assists


◉ 10 - Games - CL

◉ 03 - Goals scored

◉ 00 - Assists


A 02 👕 38 ⚽ 09 - ASEC | 21/23


22/23 | Asec mimosas overall:


✍️ 10 ⚽ 4 A 0 - CAF Confed

✍️ 25 ⚽ 6 A 4 - Ligi kuu


21/22 | Asec Mimosas overall:


✍️ 08 ⚽ 1 A 2 - CAF CL + CL

✍️ 15 ⚽ 4 A 3 - Ligi kuu


19/20 | San Pedro 

✍️ 06 ⚽ 1 A 0 - Overall


Ma-winga wa Simba so far:


◉ Ntibazonkiza

◉ Peter Banda

◉ Ousmane Sakho

◉ Kibu Denis

◉ Willy Onana

◉ Mwanuke


KUMBUKA;  22/23. ndiye top scorer wa klabu ya ASEC Mimosas (⚽ 4) kwenye michuano ya CAF Confederations cup.

Cc ~𝙏𝙊𝙈 𝘾𝙍𝙐𝙕




Willy Onana:

... 🚨 || IMETHIBITISHWA:


Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mshambuliaji Leandre Willy Onana (23) raia wa Cameroon kwa mkataba wa miaka miwili kutoka klabu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda.


Onana ambaye alikuwa na msimu mzuri kwenye Ligi kuu Rwanda akimaliza msimu wa 2022/23 kama mfungaji bora akiwa na magoli 16 anatua kuchukua nafasi ya Mghana, Augustine Okrah ambaye ameondoka.

" Simba SC, Willy Essomba Onana." ~ Wameandika Simba SC Tanzania


Che Fondoh Malone:

Che Malone (24) raia wa Cameroon amesaini mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2026 na anatua klabuni hapo kama mbadala wa Joash Onyango (30) aliyetimkia Singida Fontaine Gate FC.


Che Malone ni mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Ligi Kuu ya Cameroon msimu uliopita wa 2022/23 (2022/23 Cameroon Elite One Footballer of the Year) kwenye tuzo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Jumamosi (Julai 08) na Mboa Foot Awards huko Cameroon.


Che Malone Jr almaarufu ‘Ukuta wa Yericko’ (Wall Of Jericho) Msimu uliopita aliiongoza Cotton Sports kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Cameroon huku akicheza takribani mechi zote kama Nahodha wa klabu hiyo. Cc ~ Kitenge




Tetesi zilizopo mpaka sasa mezani ni hizi hapa:


12. Caique Luiz Purificacao (Kipa)

13. Fabrice Ngoma


Related Posts

Post a Comment

Join Us Free, in Telegram.

Subscribe Our Newsletter