📑 Yaliyomo Kwenye Makala:
Vikosi vya Kombe la Dunia 2026: Orodha Kamili ya Wachezaji wa Timu Zote 48 Walioitwa FIFA World Cup
Kombe la Dunia 2026 linatarajiwa kuwa moja ya mashindano makubwa zaidi katika historia ya soka duniani, likiwakutanisha mataifa 48 kutoka mabara mbalimbali kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa mfumo mpya wa FIFA. Mashindano hayo yatafanyika nchini Marekani, Canada na Mexico, huku zaidi ya wachezaji 1,200 wakitarajiwa kuwania taji la ubingwa wa dunia.
Mashabiki wengi duniani wanatafuta vikosi rasmi vya timu zao, nyota walioteuliwa, pamoja na wachezaji waliokosekana kutokana na majeraha au maamuzi ya makocha. Katika makala hii utapata vikosi kamili vya Kombe la Dunia 2026, wachezaji wa timu zote 48 zilizofuzu, makundi yao, pamoja na majina ya nyota wakubwa wanaotarajiwa kuangaza katika michuano hiyo mikubwa ya FIFA.
Endelea kusoma ili kuona orodha kamili ya vikosi vya kila taifa, kuanzia mabingwa watetezi Argentina, Brazil, England, France, Spain, Ureno hadi mataifa yanayoshiriki Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika historia yao.

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Brazil Chini ya Kocha Don Carlo Ancelotti kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026.
🔘 SAFU YA MAGOLIKIPA
• Ederson (Fenerbahçe)
• Bento (Al-Nassr)
• Hugo Souza (Corinthians)
• John (Forest)
• Carlos Miguel (Palmeiras)
🔘 SAFU YA ULINZI
• Marquinhos (PSG)
• Thiago Silva (Porto)
• Gabriel Magalhães (Arsenal)
• Bremer (Juventus)
• Léo Pereira (Flamengo)
• Ibañez (Al-Ahli)
• Alexsandro (Lille)
• Fabrício Bruno (Cruzeiro)
• Beraldo (PSG)
• Vitor Reis (Girona)
• Murillo (Nottingham Forest)
• Wesley (Roma)
• Danilo (Flamengo)
• Paulo Henrique (Vasco)
• Vitinho (Botafogo)
• Alex Sandro (Flamengo)
• Douglas Santos (Zenit)
• Luciano Juba (Bahia)
• Caio Henrique (Monaco)
• Kaiki (Cruzeiro)
• Carlos Augusto (Inter)
🔘 SAFU YA KIUNGO
• Casemiro (United)
• Bruno Guimarães (Newcastle)
• Fabinho (Al-Ittihad)
• Andrey Santos (Chelsea)
• Danilo (Botafogo)
• Lucas Paquetá (Flamengo)
• Gabriel Sara (Galatasaray)
• João Gomes (Wolves)
• Andreas Pereira (Palmeiras)
• Joelinton (Newcastle)
• Gerson (Cruzeiro)
• Matheus Pereira (Cruzeiro)
🔘 SAFU YA USHAMBULIAJI
• Neymar (Santos)
• Endrick (Lyon)
• Raphinha (Barcelona)
• Matheus Cunha (United)
• Luiz Henrique (Zenit)
• Gabriel Martinelli (Arsenal)
• João Pedro (Chelsea)
• Estêvão (Chelsea)
• Rayan (Bournemouth)
• Antony (Real Betis)
• Igor Thiago (Brentford)
• Pedro (Flamengo)
• Richarlison (Tottenham)
• Igor Jesus (Forest)
• Kaio Jorge (Cruzeiro)
Kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia na Ratiba ya Mechi!
Orodha ya wachezaji 26 imetangazwa rasmi.
Les Bleus wataanza kampeni yao tarehe 16 Juni.
📍 New York: Ufaransa dhidi ya Senegal (16 Juni)
📍 Philadelphia: Ufaransa dhidi ya Iraq (22 Juni)
📍 Foxborough: Norway dhidi ya Ufaransa (26 Juni)
Safari ya kuelekea Bonyeza Picha Kusha Zoom Kuona Vizuri
Kikosi cha Wachezaji wa Sweden kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026.
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Japan kwa ajili ya Kombe la Dunia. 🇯🇵
Bonyeza na Zoom Picha Kuona Zaidi
Kikosi cha Ivory Coast kwa ajili ya Kombe la Dunia
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha DR Congo kwa ajili ya Kombe la Dunia.
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia
Kikosi cha Portugal kwa ajili ya Kombe la Dunia. 🇵🇹
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Switzerland kwa ajili ya Kombe la Dunia
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Egypt kwa ajili ya Kombe la Dunia.
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Senegal kwa ajili ya Kombe la Dunia.
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Norway kwa ajili ya Kombe la Dunia. 🇳🇴
Zoom Picha Kuona
Kikosi cha Spain kwa ajili ya Kombe la Dunia.
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Morocco kwa ajili ya Kombe la Dunia .
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Argentina kwa Ajili yako kombe la Dunia
Zoom Picha Kuona Vizuri
Kikosi cha Turkey kwa ajili ya kucheza kombe la dunia 2026
Zoom Picha Kuona Vizuri