Tanzania U17 vs Senegal U17 Final Results: Full Time
Tanzania U17 na Senegal U17 wanaendelea kupambana katika mchezo wa fainali ya AFCON U17 2026 baada ya dakika 90 za kawaida kumalizika kwa sare ya mabao 1-1.
Serengeti Boys walikuwa na mwanzo mzuri wa mchezo huo baada ya kupata bao la kuongoza mapema katika kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao 1-0 dhidi ya Senegal.
Tanzania Yaongoza Mapumzikoni
Tanzania ilionyesha kiwango bora katika kipindi cha kwanza na kufanikiwa kupata bao la kuongoza kupitia Hamis Mihambo. Bao hilo liliwapa vijana wa Tanzania faida muhimu dhidi ya wapinzani wao kutoka Afrika Magharibi.
Katika kipindi hicho cha kwanza, Serengeti Boys walionekana kuwa na nidhamu kubwa ya mchezo huku wakizuia mashambulizi ya Senegal na kulinda uongozi wao hadi mapumziko.
Matokeo ya Mapumziko
⚽ Hamis Mihambo
Senegal Wasawazisha Kipindi cha Pili
Baada ya kurejea kutoka mapumziko, Senegal waliongeza kasi ya mchezo wakisaka bao la kusawazisha. Jitihada zao zilizaa matunda walipofunga bao la kusawazisha na kufanya mchezo kuwa mgumu kwa pande zote mbili.
Dakika za mwisho za kipindi cha pili zilishuhudia kila timu ikitafuta bao la ushindi, lakini safu za ulinzi pamoja na walinda milango zilifanikiwa kuzuia hatari mbalimbali zilizojitokeza.
Matokeo ya Dakika 90
Mchezo sasa umeingia katika dakika za nyongeza ili kupata bingwa wa AFCON U17 2026.
Mikwaji Ya Penati Inafuata.....
Tanzania U17 vs Senegal U17 Final Results
Half Time: Senegal U17 0-1 Tanzania U17
Full Time: Senegal U17 1-1 Tanzania U17
Penalty: Penati Zinaendelea
Senegal U17 ✅✅✅✅
Tanzania U17 ✅✅❌❌
Penati Zimeamua - Senegal U17 πΈπ³ Ndio mabingwa wa AFCON U17
