Tafta:

Ratiba ya Kombe la Dunia 2026

πŸ“‘ Yaliyomo Kwenye Makala:

 

Ratiba Ya Kombe La Dunia 2026

Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: Mechi Zote Kuanzia Juni 21 hadi Juni 28

Wapenzi na Mashabiki wa soka duniani kote wanaendelea kusubiri kwa hamu kubwa mechi kali za Kombe la Dunia 2026 huku mataifa makubwa yakitarajiwa kushuka dimbani kuwania ushindi katika hatua ya makundi.

Hii hapa ni ratina ya Kombe la Dunia 2026. Katika ratiba hii utapata mechi zote, tarehe pamoja na muda rasmi wa kuchezwa kwa kila pambano kubwa la World Cup 2026.

Ratiba ya Kombe la Dunia 2026: mechi za Kombe la Dunia leo - World Cup 2026 fixtures:

Tarehe Mechi Muda (EAT)
21 Juni 2026Belgium vs Iran22:00
22 Juni 2026Uruguay vs Cape Verde Islands01:00
22 Juni 2026New Zealand vs Egypt04:00
22 Juni 2026Argentina vs Austria20:00
23 Juni 2026France vs Iraq24:00
23 Juni 2026Norway vs Senegal03:00
23 Juni 2026Jordan vs Algeria06:00
23 Juni 2026Portugal vs Uzbekistan20:00
23 Juni 2026England vs Ghana23:00
24 Juni 2026Panama vs Croatia02:00
24 Juni 2026Colombia vs Congo DR05:00
24 Juni 2026Switzerland vs Canada22:00
24 Juni 2026Bosnia & Herzegovina vs Qatar22:00
Hatua ya Makundi - Round ya 3
25 Juni 2026Morocco vs Haiti01:00
25 Juni 2026Scotland vs Brazil01:00
25 Juni 2026Czech Republic vs Mexico04:00
25 Juni 2026South Africa vs South Korea04:00
25 Juni 2026Ecuador vs Germany23:00
25 Juni 2026CuraΓ§ao vs Ivory Coast23:00

JINSI YA KUTUMIA RATIBA HII

Vuta kulia mpaka utakapoona Muda wa Mechi au Kusho mpaka utakapo ona Tarehe. Hapo utakua umeweza kuona muundo kamili wa ratiba hii. 

Mechi Zinazosubiriwa Zaidi Kombe la Dunia 2026

Miongoni mwa mechi zinazosubiriwa kwa hamu kubwa ni pambano kati ya Argentina Ghana ni moja ya mechi zinazotarajiwa kuvuta watazamaji wengi barani Afrika. Ghana imekuwa ikipewa heshima kubwa kutokana na historia yake nzuri dhidi ya mataifa makubwa huku England ikipewa nafasi kubwa kutokana na ubora wa kikosi chake chenye mastaa wengi wanaocheza ligi kubwa Ulaya.

Scotland dhidi ya Brazil nayo ni mechi nyingine yenye mvuto mkubwa katika hatua ya makundi. Brazil inaingia kwenye mashindano ikiwa miongoni mwa timu zinazotajwa kuwania ubingwa lakini Scotland inaweza kuwa timu ya kushtua wengi kutokana na mchezo wao wa nguvu na kasi.

Katika upande mwingine, Portugal dhidi ya Uzbekistan inaweza kuwa mechi muhimu kwa Portugal kujitengenezea mazingira mazuri ya kufuzu hatua inayofuata mapema. Hata hivyo Uzbekistan imeonyesha maendeleo makubwa katika miaka ya hivi karibuni na inaweza kuleta ushindani mkubwa kuliko wengi wanavyotarajia.

Mashabiki wengi pia watakuwa wakifuatilia mchezo wa Colombia dhidi ya Portugal ambao unatabiriwa kuwa mmoja wa michezo mikali zaidi katika hatua hii ya makundi kutokana na timu zote mbili kuwa na safu kali za ushambuliaji.

Kombe la Dunia 2026 linaonekana kuwa moja ya mashindano yenye ushindani mkubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa huku timu ndogo zikionyesha uwezo mkubwa wa kuwapa wakati mgumu vigogo wa soka duniani.