Msimamo wa NBC Premier League 2025/2026 | Yanga SC Yaendelea Kuongoza, Simba SC Wapambana Karibu
NBC Premier League 2025/2026 inaendelea kuwa ligi yenye ushindani mkali zaidi Tanzania, huku timu kubwa kama Young Africans SC, Simba SC na Azam FC zikichuana vikali kuwania ubingwa wa ligi.
Mashabiki wa soka Tanzania wanaendelea kushuhudia mabadiliko ya msimamo kila wiki kutokana na ushindani mkubwa wa pointi kati ya vigogo wa ligi.
Msimamo wa NBC Premier League (Top 16 – Points Table)
Huu hapa ni msimamo wa juu wa ligi kwa sasa:
Msimamo huu unonyesha ushindani mkali kati ya timu 3 za juu ambazo zinapishana kwa tofauti ndogo ya pointi.
Uchambuzi wa Msimamo wa Ligi
Young Africans SC (Yanga)
Yanga SC wanaendelea kuongoza msimamo wa ligi wakiwa na pointi 16, wakionyesha consistency nzuri katika mechi zao za awali.
Simba SC
Simba SC wako nafasi ya pili wakiwa na pointi 14, wakisalia nyuma kwa tofauti ndogo sana ya pointi 2, hali inayofanya mbio za ubingwa kuwa kali zaidi.
Azam FC
Azam FC wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 11, lakini bado wako kwenye mbio za nafasi za CAF Champions League.
Singida Black Stars & JKT Tanzania
Singida Black Stars na JKT Tanzania wanaendelea kufanya vizuri na kuwania nafasi za juu kwenye ligi.



0 Comments