WACHEZAJI WAPYA WALIOSAJILIWA SIMBA SC MPAKA SASA



Usajili mpya wa Simba SC, Wachezaji wapya wa simba. 

Mpaka sasa klabu ya Simba SC imesha tangaza rasmi mchezaki mmoja ambaye ni Neon Maema (29) – Mamelodi Sundowns

Wachezaji wengine ambao mpaka sasa inaelezwa wameshasajiliwa na Simba SC ni:

Usajili Simba Leo, Wachezaji Wanaotakiwa Msimbazi

  • WALIOSAJILIWA MPAKA SASA SIMBA:

  1. Wilson Nangu – kutoka JKT Tanzania
  2. Morice Abraham – Kutoka FK Spartak Subotica
  3. Charles Daud Semfuko 🇹🇿 – Coastal Union
  4. Neon Maema (29) – Mamelodi Sundowns
  5. Abdallah ‘Zambo Jr’ – Coastal Union
  6. Jonathan Sowah - Singida Big Stars... SOMA ZAIDI.. 


Post a Comment

0 Comments